NA.120: UBORA NI ZAO LA MAFUNZO NA MAZOEA.
“Ubora
ni zao la mafunzo na mazoea. Hatuenendi sawasawa kwavile tuna maadili au ubora,
lakini tunaenenda sawasawa kwasababu tuna maadili na ubora. Kila mwanadamu yupo
vile alivyo kwasababu ya mambo anayoyafanya kwa kurudia rudia. Ubora siyo tendo
bali ni zao la mazoea”-Aristotle
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni