Jumatano, 2 Novemba 2016

NA.119: IKIWA MAISHA YAKO SASA YAMENYOOKA.


Ikiwa maisha yako sasa yamenyooka, ni vema ukajenga bwawa la kuogelea ambalo litakusaidia kufanya mazoezi mara kwa mara pale unapokuwa umemaliza shughuli zako za siku. Hakuna kitu kizuri kama kuogelea baada ya shughuli nyingi. Kwani huufanya mwili urudi kwenye hali yako ya kawaida kwa mazoezi kama hayo na pia itakufanya ulale usingizi mzuri kama wa kitoto.

Hakuna maoni: