Jumatano, 2 Novemba 2016

NA.118: JENGA TABIA YA KUKAA NA MARAFIKI ZAKO.


Jenga tabia ya kukaa pamoja na marafiki zako au washirika wa shughuli zako mapema asubuhi na kushirikishana juu ya mambo ambayo ni chachu kwa mafanikio yako. Kufanya hivyo kutakufanya uzione changamoto unazokutana nazo kuwa vitu vyepesi na pia kunakujengea kujiamini zaidi.

Hakuna maoni: