Pale unapogundua una kitu cha ziada zaidi ndani mwako kinachoweza kuwafaa wengine. Utajiamini na hautababaika bali utazidi kungojea maono yako yatimie huku ukiongeza bidii zaidi bila kuangalia yale yanayoonekana wazi wazi kukuvunja moyo. Dhumuni kubwa la yale yanayokuvunja moyo ni ili upoteze mwelekeo na usifikie maono na ndoto zako. Kama umetambua una kitu cha ziada "something potential in you" watu watanunua toka kwako kwa bei yoyote utakayopanga.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni