Msongo wa mawazo hutokea pale unapokuwa na vitu vingi kichwani ambavyo kwa wakati husika, si rahisi kupatia majibu au utatuzi.
Ili uishi maisha yenye vitu ambavyo akili yako inaweza kuhimili na isikupelekee madhara ni kuishi kulingana na hali yako ilivyo kwa sasa. Ishi kulingana na kipato chako na punguza au acha matumizi yasiyo na tija. Huku ukiongeza nguvu ya kutumia kile kidogo ulicho nacho kuwekeza na kuzalisha kwaajili ya kesho.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni