Tukiwa tumeanza msimu wa kilimo katika maeneo takribani nchi yote ya Tanzania, naomba tukumbushane jambo la muhimu hapa.
Panda
mazao kwa kuzingatia vipimo ili kukuwezesha kutumia ardhi yako vizuri na kuweza
kupata idadi ya mimea inayotakiwa kwa eneo na hivyo kuongeza mavuno yako.
Na
|
Zao
|
Nafasi ya kupanda
|
Idadi ya mimea kwa
hekta
|
1
|
Mahindi
|
Sentimita 75x30 (Mbegu moja /shimo)
|
44,440
|
Sentimita 90x25 (Mbegu moja /shimo)
|
44,440
|
||
Sentimita 75x60 (Mbegu mbili
/shimo)
|
44,440
|
||
Sentimita 80x50 (Mbegu
mbili /shimo)
|
50,000
|
||
2
|
Mhogo
|
Sentimita 120x90 (Sesa)
|
9,250
|
Sentimita 150x75 (Matuta makubwa)
|
8,880
|
||
3
|
Mtama
|
Sentimita 60x15
|
111,110
|
4
|
Mpunga
|
Sentimita 20x20
|
25,000
|
5
|
Alizeti
|
Sentimita 75x30-40 (kubwa)
|
33,330-44,440
|
Sentimita 60X30 (Ndogo)
|
55,550
|
||
6
|
Minazi
|
Mita 9x9 (Mirefu)
|
120
|
Mita 8,5x8.5 (Chotara)
|
130
|
||
Mita 6.6x6.5, 7.5x7.5
(Mifupi)
|
170-230
|
||
7
|
Maharage
|
Sentimita 60x20
(yatambaayo)
|
83,330
|
Sentimita 60x10
(yasiyotambaa)|
|
166,660
|
||
8
|
Vitunguu
|
Sentimita 30x10-15
|
333,333-222,222
|
9
|
Nyanya
|
Sentimita 90x40 - 50 (fupi)
|
22,000-27,500
|
Sentimita 90x80-90
(Itambaayo)
|
24,000-27,500
|
||
10
|
Kabichi
|
Sentimita 70x60 (kubwa
mstari mmoja)
|
23,800-24,690
|
Sentimita 90x90 (kubwa
mistari miwili
|
33,333-41,660
|
||
Sentimita 60x40-50 (ndogo
mstari mmoja)
|
31,740
|
||
Sentimita 90x70x50 (ndogo
mistari miwili)
|
44,444
|
||
11
|
Kahawa
|
Mita 2.7 x 2.7, 3.0 x 2.4,
2.7 x 1.4
|
1,333 – 2,660
|
12
|
Korosho
|
Mita 6 x 6, 9 x 9,
|
277 - 185
|
13
|
Chai
|
Mita 1.5 x 0.75, 1.2 x 0.9
|
3,500-8,700
|
14
|
Pareto
|
Sentimita 30x60 – 30x90
|
36,000-54,000
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni