Ijumaa, 28 Oktoba 2016
NA.116: UFAHAMU NI SILAHA YA KUKUFANIKISHA. .
Ufahamu ni silaha kubwa sana! Mtu ambaye amepata mafanikio makubwa sana si lazima awe na akili nyingi kuliko wengine. Kinacho watofautisha ni ule mhemko wa kutaka na kiu ya ufahamu. Ukielewa mambo mengi sana nafasi yako pia ya kufanikiwa ni kubwa sana. Viongozi mashuhuri wana mbinu zinazowafanya kufika juu zaidi ya wengine. Soma historia na sifa za viongozi mashuhuri duniani, kutoka kwao utajifunza tabia, kitu kitakachokutia msukumo na falsafa mbalimbali. Endeleza mazoea haya muhimu yatakayo kutengeneza na kukubadilisha kabisa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni