Jumanne, 25 Oktoba 2016

NA.109 – NA.110: MFULULIZO WA SIRI ZA MAFANIKIO KATIKA MAISHA.

109. Jitahidi kuwa mnyenyekevu na ishi maisha ya kawaida.
110. Soma kitabu kiitwacho,“A History of Knowledge” kama kilivyotolewa na Charles Van Doren ambacho ni tarihi ya historia ya mawazo duniani. Katika kitabu hiki kuna utajiri mwingi wa maarifa. Tafuta kitabu hicho, kisome na uendelee kukifurahia.
Kwa leo tuishie hapa na karibu tena,
\\ujasiriamaliafya
georgemtega@gmail.com; Whatsap/Telegram (+255 625 843 804)

Hakuna maoni: