Jumanne, 25 Oktoba 2016

NA.108: MFULULIZO WA SIRI ZA MAFANIKIO KATIKA MAISHA.

108. Jifunze kanuni 10 za furaha:
 i. Kuuandama uzalishaji, kusisimka na maisha ya kujishughulisha.
ii. Jishughulishe na shughuli za msingi kila dakika, kila siku.
iii. Jenga maisha ya kistaarabu, yaliyopangiliwa na mwingiliano kidogo.
iv. Jiwekee malengo yanayowezekana na kusudia alama ya juu kabisa.
v. Jiweke kwenye mtizamo chanya-huwezi kupata raha kwa mtizamo hasi.
vi. Epuka mashaka katika jambo dogo lisilokuhusu.
vii. Tenga muda wa kujifurahisha.
viii. Jenga mahusiano moto na watu waaminifu uwapendao.
ix. Uwe na tabia ya kutoa zaidi ya kupokea.
x. Jifunze kuishi sasa. Yaliyopita ni kama maji chini ya daraja la maisha.

Hakuna maoni: