106. Jenga tabia ya kupumzisha akili yako japo kwa siku moja nzima ili kuipumzisha akili yako juu ya yale uyafanyayo kila siku. Unaweza kuutumia muda huo kwenda kwenye hifadhi au maeneo ya utalii mbalimbali na kufanya utalii kidogo. Jaribu kufanya hivyo kwa miezi miwili mfululizo na upange ratiba kama ilivyo kwenye kikao muhimu au majukumu mengine. Ni hakika utaona badiliko la dhahiri.
107. Kubadilika ni kuzuri kama ulivyo usingizi. Kwavyovyote kubadlika ni jambo kubwa kama kubadili ajira au jambo dogo kama kustarehe kunakokupelekea umakini wote kwa saa zima mara tatu kila wiki, kubadilika ni kawaida, na umakini una faida kubwa. Katika kuchagua shughuli ya kufanya, tafuta kujiingiza kwenye shughuli itakayokufanya kuzama ili akili yako isiingiliwe na jambo lolote la kidunia bali inaonekana kuwa na umuhimu wa hali ya juu kwa siku yako yote. Watendaji wengi hufundisha mbinu za kijeshi ni kwa sababu hiyo. Kama akili yako inashangaa hata kwa dakika moja jambo la kikatili utakuwa umejifunza mara moja. Uchungu au maumivu wakati wote unatutia moyo kwa kutufanya tuongeze bidii ya kutafuta mazuri zaidi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni