Jumamosi, 4 Februari 2017

Ukarimu-Generosity

Ukarimu ni sehemu ya muhimu sana kukufanya upande juu zaidi. Toa zaidi kwa wahitaji nawe utafanikiwa zaidi. Watoaji wakubwa duniani ndio hao tunaowalilia na wanatupa masharti hata yasiyotekelezeka na tukishindwa wanalegeza misimamo yao, kwanini? kwasababu wanajua siri ya utoaji!
Angalia kuna kitu cha kujifunza hapa!



Generosity: Your Candle Loses Nothing When It Lights Another
“No person was ever honored for what he received. Honor has been the reward for what he gave.”

~Calvin Coolidge, American President

“All that is not given is lost.”       ~Rabinranath Tagore, Indian Poet

Cultivate the Quality of Generosity in Your Life

  • ·         Be Grateful For What You Have
  • ·         Put People First
  • ·         Don`t Allow the Desire for Possessions to Control You.
  • ·         Regard Money as a Resource
  • ·         Developthe Habit of Giving

Hakuna maoni: