Jumatatu, 24 Oktoba 2016

NAFASI (VIPIMO) KATIKA UPANDAJI MAZAO YA KILIMO



Panda mazao kwa kuzingatia vipimo ili kukuwezesha kutumia ardhi yako vizuri na kuweza kupata idadi ya mimea inayotakiwa kwa eneo na hivyo kuongeza mavuno yako.

Na
Zao
Nafasi ya kupanda
Idadi ya mimea kwa hekta
1
Mahindi
Sentimita 75x30 (Mbegu moja /shimo)
44,440
Sentimita 90x25 (Mbegu moja /shimo)
44,440
Sentimita 75x60 (Mbegu mbili /shimo)
44,440
Sentimita 80x50 (Mbegu mbili /shimo)
50,000
2
Mhogo
Sentimita 120x90 (Sesa)
9,250
Sentimita 150x75 (Matuta makubwa)
8,880
3
Mtama
Sentimita 60x15
111,110
4
Mpunga
Sentimita 20x20
25,000
5
Alizeti
Sentimita 75x30-40 (kubwa)
33,330-44,440
Sentimita 60X30 (Ndogo)
55,550
6
Minazi
Mita 9x9 (Mirefu)
120
Mita 8,5x8.5 (Chotara)
130
Mita 6.6x6.5, 7.5x7.5 (Mifupi)
170-230
7
Maharage
Sentimita 60x20 (yatambaayo)
83,330
Sentimita 60x10 (yasiyotambaa)|
166,660
8
Vitunguu
Sentimita 30x10-15
333,333-222,222
9
Nyanya
Sentimita 90x40 - 50 (fupi)
22,000-27,500
Sentimita 90x80-90 (Itambaayo)
24,000-27,500
10
Kabichi
Sentimita 70x60 (kubwa mstari mmoja)
23,800-24,690
Sentimita 90x90 (kubwa mistari miwili
33,333-41,660
Sentimita 60x40-50 (ndogo mstari mmoja)
31,740
Sentimita 90x70x50 (ndogo mistari miwili)
44,444
11
Kahawa
Mita 2.7 x 2.7, 3.0 x 2.4, 2.7 x 1.4
1,333 – 2,660
12
Korosho
Mita  6 x 6, 9 x 9,
277 - 185
13
Chai
Mita 1.5 x 0.75, 1.2 x 0.9
3,500-8,700
14
Pareto
Sentimita 30x60 – 30x90
36,000-54,000

Hakuna maoni: